Skip to main content

Jinsi ya Kutengeneza Channel Youtube.



YOUTUBE%2BCHANNEL%2B0
Karibu tena ndugu msomaji na mtembeleaji wa blog yako pendwa ya Tanzania  ambayo inakupatia elimu itakayokusaidia kucopi na mabadiliko ya sayansi na teknolojia yanayotokea kila leo.

Katika makala ya leo tutaenda kuzungumzia namna ya kufungua channel ya youtube maarufu kamaonline TV.

Makala hii itakwenda kukupa ujuzi wa namna ambayo utaweza kufungua channel ya youtube wewe mwenyewe, channel ambayo utaweza kuweka video zako na watu wengine wakapata kuziona.

MAHITAJI
1: G mail account
2: Kifaa chako cha kielectoniki (kama computer)
3: Internet connection

HATUA ZA KUFUATA
1:Fungua mtandao wa youtube kwenye search engine yako mfano opera mini, mozila firefox.
kisha tafuta (search) www.youtube.com kama hivi:-

youtube%2Bchannel%2B6

2:Kisha baada ya hapo itafunguka na utatakiwa kuanza kwa ku sign in kama inavyoonekana hapa chini:-

youtube%2Bchannel%2B5

3:Kisha baada ya hapo chagua g mail account yako ambayo uta sign in nayo kama hivyo :-

youtube%2Bchannel%2B4

4:Kisha utatakiwa kuchagua option ya my channel kama inavyoonekana hapo chini:- 

youtube%2Bchannel%2B3

5:Kisha baada ya hapo utatakiwa kuandika jina la channel yako kwenye vibox vyote. mfano kibox cha juu utaandika kitaani cha chini ukaandika TV kama hivi:-

youtube%2Bchannel%2B2

6:Kisha baada ya hapo kumaliza utakua umeshatengeneza channel yako na itaonekana kama hivi:-

youtube%2Bchannel%2B1

7:Kisha mpaka hapo utakua umemaliza kutengeneza channel yako na itakua tayari kwa kuwekewa video. ukihitaji kuiona channel yako ulioitengeneza unachotakiwa kufanya ni kuingia youtube na ku sign in kwa ile e mail yako uliotengenezea channel kisha clik palipoandikwamy channel kama hivi:-

youtube%2Bchannel


****  MWISHO ITAENDELEA****
Bonyeza Hapa https://m.youtube.com/channel/UCCpPi8uUQ4pMhbg9UMPfj1A ili kusubscribe katika channel yangu ya youtube ili uzidi kujifunza zaidi.

     By
       Masaka Frances

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kunufaika na blog au tovuti yako

Naam ni wengi sana wamekuwa wakianzisha blog au tovuti na kuishia njiani bila kuona mafanikio. Hapa nitazungumzia mambo makuu ambayo kama ukizingatia basi utafanikiwa katika blogu yako au tovuti. Kuna mambo ya kuzingatia kabla ya kuamua kuanzisha blogu au tovuti yako. MADA /TOPIC   ni swala la muhimu sana kuzingatia kabla hujaanzisha blogu au tovuti yako. Wengi  wemeshindwa kutoka na kutokujipanga katika swala hili. Kama unataka kuwa na blog kwa ajili ya habari basi uwe umejipanga vizuri katika kupata habari mpya na sio kunakili kutoka katika blog zingine za habari. Wadau wengi wanaanzisha blogu ila hawaoni mafanikio kwa vile hawana kitu cha kuvuta wadau katika blogu zao. ·            8020fashions  ni moja ya blog ambayo imefanikiwa sana hapa Tanzania, mwanadada huyo yeye amejikita katika mambo ya wanawake. Hachanganyi mambo. ·            ...

Jinsi ya kuanzisha blog yako

Hapa ndio mahali husika katika kujifunza namna ya kuwa na blog yako na kuifanya iwe na mafanikio makubwa kama ambavyo wengine wamefanikiwa kupitia blog zao. Kuna namna mbali mbali za kuwa na blog ila leo hapa nitazungumzia mbili tu ambazo ni rahisi sana. Kumbuka kuwa kuwa na blog yako mwenyewe hakuna gharama yoyote zaidi ya muda wako na ubunifu wako. BLOGGER  Kupitia uwanja huo au platform hiyo inayomilikiwa na Google unaweza kuanzisha blog yako mwenyewe ambayo itabebwa na jina ulipendalo wewe mfano:- http:// blogyako .blogspot.com, hapo ambapo nimekoleza kwa maandishi ya rangi nyekundu ndipo ambapo utaweka jina la blog yako. Utaratibu mzima utaupata wakati ukiwa unaisajiri blog yako Bofya hapa ili kutengeneza blog yako  Create a new Blog   WORDPRESS  Hapa pia utaratibu ni kama hapo mwanzo ila hizi ni nyanja (Platforms) tofauti na zinatofautiana vikolombwezo (features)  vya uboreshaji wa blogs. Hapa ukianzisha blog yako itabebwa na uwanja au platform...